Mabalozi walioteuliwa wametakiwa kuendana na kasi ya Viongozi wakuu wa Serikali.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abulla amewataka Mabalozi walioteuliwa  karibuni kuendana na kasi ya viongozi wakuu wa Serikali wakati wakiwakilisha Tanzania katika nchi zao walizopangiwa. Mhe.Hemed alieleza hayo alipofanya mazungumzo na mabalozi hao walipofika Ofisini kwake Vuga Jijini Zanzibar kwa lengo la kuagana nae. Alisema Imani ya Rais wa Jamuhuri